disturbanced Member Joined Oct 27, 2024 Posts 21 Reaction score 25 Feb 3, 2025 #1 Naamini jf ni kisima cha maarifa humu wamejaa watu wengi sana kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua muongozo wa biashara hii ikiwemo changamoto yake,machimbo ya jumla,faida yake lakini pia namna ya ufanyaji wake kiujumla.naomba kuwasilisha wakuu
Naamini jf ni kisima cha maarifa humu wamejaa watu wengi sana kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua muongozo wa biashara hii ikiwemo changamoto yake,machimbo ya jumla,faida yake lakini pia namna ya ufanyaji wake kiujumla.naomba kuwasilisha wakuu