Nahitaji baro moja Nipe Bei mkuumkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Mikoa mingi bei ya rejareja huwa ni 600,na kiwandani huwa ni kati ya 400,hapo bado usafiri kutegemea na sehemu unakoipeleka!mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Mifuko inapatkana kiwandani Dar na arusha bundle inakuwa na mifuko 1000 na inauzwa 560000mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Na mimi pia naomba hio namba
Duhh mkuu kwa hiyo bei labda kama hiyo mifuko iwe imeibiwa, maana ata kiwandani tu hawauzi hivoNahitaj mifuko hii ya debe 6 kwa bei ya jumla kama 5,000 pieces. Anayejua napoeza kupata kwa 380,000/mifuko 1000 naomba msaada
Mifuko inapatkana kiwandani Dar na arusha bundle inakuwa na mifuko 1000 na inauzwa 560000
Sent using Jamii Forums mobile app
Shekh kama unataka kujikita kwenye iyo biashara na namna naweza kuwa na msaada lakini sio wa ndani ya nchi.Ndugu zangu,
Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni.View attachment 1446515
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Mlandizikwa mwenye ufahamu pia wa mifuko ya kinga njaa kwa bei ya jumla please atufahamishenaihitaji sna hiyo mifuko japokua sijajua inapakiwa kiasi gani na kwa bei gani.