sheby dunia Member Joined Jul 12, 2018 Posts 78 Reaction score 83 May 27, 2021 #1 Wakuu habari vipi? Nataka nianzishe biashara ya kuuza mihogo kutoka kijijini hadi sokoni. Mwenye uzoefu wa biashara hii tafadhali.
Wakuu habari vipi? Nataka nianzishe biashara ya kuuza mihogo kutoka kijijini hadi sokoni. Mwenye uzoefu wa biashara hii tafadhali.
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,964 Reaction score 3,913 May 27, 2021 #2 Anza wewe kabisa upate uzoefu uje kutuhabarisha maana watu wako kimya. Fanya utafiti kwa wamama wauza Mihogo.
Anza wewe kabisa upate uzoefu uje kutuhabarisha maana watu wako kimya. Fanya utafiti kwa wamama wauza Mihogo.