Bhokem Member Joined Aug 7, 2009 Posts 37 Reaction score 9 Mar 3, 2011 #1 Naombeni ushauri. Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha?
Naombeni ushauri. Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha?
mwanatanu JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 851 Reaction score 127 Mar 3, 2011 #2 Bhokem said: Naombeni ushauri. Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha? Click to expand... Kwanza inategemea unataka kutumia tanuri gani Pili ni sehemu gani ya Tanzania unataka kufanya biashara hiyo.
Bhokem said: Naombeni ushauri. Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha? Click to expand... Kwanza inategemea unataka kutumia tanuri gani Pili ni sehemu gani ya Tanzania unataka kufanya biashara hiyo.
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,385 Reaction score 568 Mar 4, 2011 #3 kwa mtaji huo,fanya distribution ya mikate,tafuta supply points,mashule and ofisi. then nunua na kufanya delivery.
kwa mtaji huo,fanya distribution ya mikate,tafuta supply points,mashule and ofisi. then nunua na kufanya delivery.
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Mar 4, 2011 #4 kwa mtaji huo ukisema upangishe eneo la bekari, ununue tanuru sidhani kama itatosha bora ufanye supply kidogo kidogo mtaji ukikua unaweza kufanya utakalo
kwa mtaji huo ukisema upangishe eneo la bekari, ununue tanuru sidhani kama itatosha bora ufanye supply kidogo kidogo mtaji ukikua unaweza kufanya utakalo