Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Ni mfano tuu unaofanana na hali halisi, hii dunia ukiwa na nia ukaweka akili, time na energy yako hakuna linaloshindikanaNa mpaka leo bado anauza chips kuku, wewe endelea kukenua π
Upo sahihi mkuuNi mfano tuu unaofanana na hali halisi, hii dunia ukiwa na nia ukaweka akili, time na energy yako hakuna linaloshindikana
πππππMotivesheni spika sio....
Haya chukua kitoroli nenda Road........... utalia na kusaga meno ms***ge
πππππHao huwa wananunua mbuzi za wizi sometimes huwa wanaiba kabisa