David Michael samweli
Member
- Jul 15, 2018
- 16
- 5
Ahsante sanaa shukraniHakuna kigezo mi nauza gasi pia kusanya mtaji wako mitungi midogo unanunua 39 complete halafu kuendelea kujaza ni 16 mtungi dogo nawe kuuza ni 20.
mikubwa comlete ni 95 ila kujaza ikiisha ni 42/3 nawe utauza 50 au 49 inategemea eneo! Lesen ni themanini, na fire extinguisher unakuwa nayo moja basi
mtaji kwa ujumla wake ni kiasi ganiHakuna kigezo mi nauza gasi pia kusanya mtaji wako mitungi midogo unanunua 39 complete halafu kuendelea kujaza ni 16 mtungi dogo nawe kuuza ni 20.
mikubwa comlete ni 95 ila kujaza ikiisha ni 42/3 nawe utauza 50 au 49 inategemea eneo! Lesen ni themanini, na fire extinguisher unakuwa nayo moja basi
Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.