Biashara ya mitungi ya gesi na juis ya miwa

Blessed Son

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
34
Reaction score
23
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?
 
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?

Nyie watu ambao biashara haipo kwenye DNA zenu mna shida sana, business depend on:

- Location.
- Need.
- Capital.
- Knowledge & commitment.

Sasa wewe unauliza online ipi ni biashara nzuri kati ya gas na mitungi???? hili swali haliwezi kujibiwa vyema bila maelezo mengine.
 
Ndio maana huwa tunapiga kelele za majungu mara biashara zetu zinapogoma kusimama huku tukiona wahindi, wachaga, wakinga, wachina, waha,wakurya, etc wakifanikiwa kwenye business zao. Kumbe tatizo ni kuibuka tu bila research
 
Bwana ahsante sana kuambia wana niudhi sana. hata kufanya maamuzi ya biashara(simple bussiness decission) anashidwa duh. eti mwanaumme mzima na mke anae!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…