Biashara ya miwa

Biashara ya miwa

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habari wakuuu,

Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna.

Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa juamla anisaidia Kwa hapa Dar es salaam.

0658644485 number yangu
 
Kwa hapa Dar es salaam leta miwa yako Mabibo sokoni uta uza sana kwa jumla na reja reja chimbo jengine peleka miwa yako sehemu ina itwa tandale lazima utauza.
 
Ku uza ata uza ila kwa bei itakayo mlipa! Kuna watu wanaitwa madali, jamaa wanazingua sana ukifika na mzigo wako mwingi halafu hujui pakuanzia.
 
Anzia sokoni wapange madalali pia hesabu zako vzr kisha kachukue mzigo ulete miwa yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom