Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
Kwa hapa Dar es salaam leta miwa yako Mabibo sokoni uta uza sana kwa jumla na reja reja chimbo jengine peleka miwa yako sehemu ina itwa tandale lazima utauza.Habari wakuuu,
Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna.
Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa juamla anisaidia Kwa hapa Dar es salaam.
0658644485 number yangu
Ku uza ata uza ila kwa bei itakayo mlipa! Kuna watu wanaitwa madali, jamaa wanazingua sana ukifika na mzigo wako mwingi halafu hujui pakuanzia.Kwa hapa Dar es salaam leta miwa yako Mabibo sokoni uta uza sana kwa jumla na reja reja chimbo jengine peleka miwa yako sehemu ina itwa tandale lazima utauza.