Biashara ya mkopo wa simu

Biashara ya mkopo wa simu

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,915
Reaction score
5,233
Habari za Leo wanaJF,

Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo.

Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo inafanyikaje wazee, naomba kufahamu
 
Unauza simu kwa mkopo kwa namna hii.

Mhitaji ana kuwa na dhamana unayohitaji mfano wadhamini na taarifa zake muhimu....

Mhitaji lazima awe na advance ya kuanzia simu unauza sh...200,000 labda yeye atoe sh.50,000 kama kianzio....

Alafu hiyo simu anatakiwa ainunue kwa 240,000 so wewe utamdai 190,000 akishalipa iyo 50,000 na utamwambia bayana simu ya 200000 unanunua kwa 240000 sababu ya riba ni 40000 ila utamwambia pia akiwa na 200000 cash atauziwa bila mkopo.

Huo ni mchakato ninao fahamu wa kuuza vitu kwa mkopo ngoja wajuvi waje nao watoe nondo.

Wengine wakupe vibali na leseni muhimu.
 
Asante sana kwa maelezo mazuri, sasa hiyo application kwenye simu naipataje?
 
Naona unafilisika kabla ya kuanza biashara ya faida

Unamkopa mtu kweli
 
Habari za Leo wanaJF,

Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo.

Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo inafanyikaje wazee, naomba kufahamu
Sikushauri ufanye biashara ya mkopo..ni pasua kichwa

Naongea kupitia uzoevu
 
Habari za Leo wanaJF,

Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo.

Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo inafanyikaje wazee, naomba kufahamu
Jana nlipitia fb kuna jamaa ametoa kabisa tangazo la kununua sm za mkopo watu kibao wakawa wanamtumia hapo nikafkiria upande wa pili wa wale waliotoa hizo simu watavyokula za mbavu baada ya sm kubadilishwa imei
 
uwe na mfumo wa kufunga IMEI ya simu zako akishindwa kulipa hawezi kutumia km zilivyo za Y9.

Ubaya siku hizi kuna mifumo ya kubadili IMEI inakuwa ni hasara kwako
 
Back
Top Bottom