Reasons wadau wameorodhesha hapo juu, kwa wanachuo kitu kama movie wengi wanazipata kwa urahisi sana, wapo ambao husubiri movie hata kwa masaa itoke wapakue.Reasons why unishauri mkuu. Asante
Thanks mkuu angalizoReasons wadau wameorodhesha hapo juu, kwa wanachuo kitu kama movie wengi wanazipata kwa urahisi sana, wapo ambao husubiri movie hata kwa masaa itoke wapakue.
Ndo maana nikashauri kwa chuo hakufai kwa biashara kama hiyo
Unauza movie zilisotafiriwa mkuu au za kawaida za wasomi.Mkuu piga iyo kazi inalipa, me mwenyewe ndoo napiga apa Kigoma.
Move moja=500
Wimbo vidio= 200, audio= 50
....kfikia jioni najikuta nimefikisha 15-18 siku zingine
Ninazo zote ...akitaka iliyotafsliwa fresh...me huwa naazima DVD na kzikopi.Unauza movie zilisotafiriwa mkuu au za kawaida za wasomi
Ninazo zote ...akitaka iliyotafsliwa fresh...me huwa naazima DVD na kzikopi
Move zingine hazipo mtandaoni mzee.Kwann usiwe una download upate Full HD
Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo.
Naomben ushauri....
search y2mate.com hapo unapata kila kituMove zingine hazipo mtandaoni mzee