BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

Joined
Sep 23, 2022
Posts
28
Reaction score
25
Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali,
1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia.
2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
 
Kwani sasa hivi kuna cd bado
DVD zinakuwa storage kwenye vibanda vya movie maana NI ngumu kuhifadhi zote kwenye sdd/HDD..alafu Zina display ya movie Kama tangazo flan...ushauri kwa aliyeomba fanya tafuti no dj gani watu wa eneo lako wanamfagilia ...tafuta namba zao direct kupitia movie zao...hao ndio Wana mizigo full wengine NI wauzaji Kama wewe connection na dj ndio itakutoa..usiogope piga kazi nshatoka huko nadhani sababu ya umri..
 
  • Thanks
Reactions: PYD

Mimi mwenyewe nimeamua kuachana na library nafanya mambo mengine sasa nimefanya hiibkazi toka 2018 nina udhoefu mkubwa sana
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom