Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

WA UKAYE

Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
39
Reaction score
7
Habari wadau,
Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani.
Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer
Naomba wadau kama kuna app yeyote inayoweza kufuatilia na kujua zaidi ya kuweka camera.
 
Iyo ondoa shaka Kuna hundreds na thousands of software unaweka tu kwenye Computer yako ya biashara .basi siku ukipata muda unafungua kwa password unaona kila file lililotumwa au kuhamishwa kutoka kwenye PC yako kwenda kwenye External,Flash disk n.k Utaona detail zote mpaka muda na tareh

Software hizi ni nyingi kuna za kununua za bure na Cracked one unainstall tu kwenye PC yako.Bahati nzuri unaweza kuaccess pekeako tu kama utapata ugumu tafta IT wabobezi wakufanyie iyo kazi.

Au La,Kama itakua ngumu kuna njia nyingi sana za Kumonitor PC yako hata ukiwa mbali,Unaweza kuconnect na simu yako ukaona mambo yote yanayoendelea

Kila la heri
 
Mfano wa hizo app ni kama zipi mkuu? Kama hutojali...
 
Mpe sababu
Mkuu hii biashara nilifanya mwenye 2014 mpaka 2018 ilikuwa na faida nzurii kweli ila ikaja kuharibika kutokana na urahisi wa kuifanya kila kijana mwenye mtaji wa laki tano alikuwa na wazo la hii biashara ikapelekea kuanguka kwa bei ya bidhaa kutokana na urahisi wa upatikanaji..
Umeona saiv watu wamekuja na wazo la kuuza external pamoja na movies ndani...
 
Mfano wa hizo app ni kama zipi mkuu? Kama hutojali...
Zipo nyingi kwa pamoja huitwa MFT(Managed File Transfer) Unaweza kumanage kwa kufanya administration mafile yako utajua umeshare kwa watu wa ngapi kwa siku ndugu mwanajamvi
 
Mkuu hii biashara nilifanya mwenye 2014 mpaka 2018 ilikuwa na faida nzurii kweli ila ikaja kuharibika kutokana na urahisi wa kuifanya kila kijana mwenye mtaji wa laki tano alikuwa na wazo la hii biashara ikapelekea kuanguka kwa bei ya bidhaa kutokana na urahisi wa upatikanaji..
Umeona saiv watu wamekuja na wazo la kuuza external pamoja na movies ndani...
Hakuna biashara isio na changamoto
Aende na wakati
 
Back
Top Bottom