Mfano wa hizo app ni kama zipi mkuu? Kama hutojali...Iyo ondoa shaka Kuna hundreds na thousands of software unaweka tu kwenye Computer yako ya biashara .basi siku ukipata muda unafungua kwa password unaona kila file lililotumwa au kuhamishwa kutoka kwenye PC yako kwenda kwenye External,Flash disk n.k Utaona detail zote mpaka muda na tareh
Software hizi ni nyingi kuna za kununua za bure na Cracked one unainstall tu kwenye PC yako.Bahati nzuri unaweza kuaccess pekeako tu kama utapata ugumu tafta IT wabobezi wakufanyie iyo kazi.
Au La,Kama itakua ngumu kuna njia nyingi sana za Kumonitor PC yako hata ukiwa mbali,Unaweza kuconnect na simu yako ukaona mambo yote yanayoendelea
Kila la heri
Mpe sababuAcha na hiyo biashara mkuu..
Mkuu hii biashara nilifanya mwenye 2014 mpaka 2018 ilikuwa na faida nzurii kweli ila ikaja kuharibika kutokana na urahisi wa kuifanya kila kijana mwenye mtaji wa laki tano alikuwa na wazo la hii biashara ikapelekea kuanguka kwa bei ya bidhaa kutokana na urahisi wa upatikanaji..Mpe sababu
Ni vinzur ukatoa ushauri siyo kusema tu achana na hiyo biashara,. Huo ndo uchawi wenyewe sasaAcha na hiyo biashara mkuu..
Zipo nyingi kwa pamoja huitwa MFT(Managed File Transfer) Unaweza kumanage kwa kufanya administration mafile yako utajua umeshare kwa watu wa ngapi kwa siku ndugu mwanajamviMfano wa hizo app ni kama zipi mkuu? Kama hutojali...
Hakuna biashara isio na changamotoMkuu hii biashara nilifanya mwenye 2014 mpaka 2018 ilikuwa na faida nzurii kweli ila ikaja kuharibika kutokana na urahisi wa kuifanya kila kijana mwenye mtaji wa laki tano alikuwa na wazo la hii biashara ikapelekea kuanguka kwa bei ya bidhaa kutokana na urahisi wa upatikanaji..
Umeona saiv watu wamekuja na wazo la kuuza external pamoja na movies ndani...