MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 135
- 222
Nenda kwenye mabonde au skimu ukawaulize wakulima hata 20 watakupa majibu.
Ukifika kilombero tafuta connection kupitia bodaboda wa huko watakupa ramani. Bodaboda huwa wana taarifa nyingi kuhusu sehemu waliyopo.
Nenda kwenye mashine za kukoboa mpunga ukawaulize hayo mambo watakupa majibu.
Kwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hiiNaomba kujuzwa juu ya biashara ya mpunga katika bonde la kilombero mkoani morpgoro katika angle zifuatazo
1 msimu wa biashara hizo
2 mtaji wa chini kabisa wa biashara hiyo
3 changamoto zake
4 faida zake kulingana na muda
Asante Mkuu kwa Abc ya hii biasharaKwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hii
1. Inategemea ww unataka kufanya biashara kwa mfumo gani
2. Mfumo unategemea mtaji wako
Hii biashara unaweza ukaifanya kwa aina tofauti (different ways)
a) unaweza ukaenda moja kwa moja shambani kipindi cha kulima mpunga ukakutana na mwenyekiti wa kijiji ( kwa usalama wa pesa yako) then mwenyekiti akakupa connection na wakulima wasiokuwa na pesa kwa kipindi cha kulima kama miezi kisha ww ukawakopesha wakulima kwa makubaliano ya wakivuna wanakulipa mpunga hapa kuna faida na hasara
Bei inakuwa kila 30k unayomkopesha mkulima inathamani ya gunia moja la mpunga hivyo hapa unanunua gunia la mpunga 30k
Changamoto
Mkulima kutopata mavuno ya kutosha
Mpunga ukikoboa kupata mchele mbaya
B) kununua mpunga kipindi cha mavuno bei inakuwaga 50k kwa gunia hapa unanunulia shambani hivyo hapa unaweza kukoboresha na kuuza mchele au kuuweka gharani na kuuza kipindi mpunga ukipanda bei ambayo inafika kati ya 80k mpaka 100k kwa gunia
Changamoto hapa ni kukoboa na kupata mchele ambao si mzuri japo kuna njia ya kujua mpunga unaotoa mchele mzuri kabla ya kununua
C) unaweza kufanya biashara hii kwa kutoa mchele shambani na kuwapelekea wauzaji wakubwa wenye store kubwa kwa bei ya jumla kisha unaenda kuchukua pesa yako baada ya mda mtakaokubaliana wauzaji wakubwa wako vingunguti, kuna wapemba kula, manzese, temeke n.k hapa uaminifu unahitajika sana
D) biashara ya hii unaweza ukaifanya kwa kuandaa centre ya mauzo au store yenye ukubwa wa kutosha kisha unaongea na wakulima au wafanya biashara wanakuletea mchele ww unauza tu mfano ukiletwa mchele wa 1300 kg wewe unauza 14000 faida yako ni sh 100 hii syo ndogo kwenye mchele
Njia ya kujua mounga unaotoa mchele mzuri
Chota mpunga kidogo kisha ufikiche kwa mkono kama una viganja vya kiume hahaha
Au uweke chini vikicha kwa mkuguu ukikatika hapo hamna kitu ukitoka fresh hapo kuna mchele safi
Nafikiri umepata mwanga kidogo kuhusu hii biashara
asAnteeAsante Mkuu kwa Abc ya hii biashara
wow..!Kwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hii

Shukraniii sanaKwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hii

Muda wa mavuno inakuaga miezi ipi na ukiacha na kilombero kwa morogoro ni sehemu gani tena wanalima mpunga??Kwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hii

Miezi ya mavuno ni kuanzia mwezi wa tano sehemu nyingine wanapolima mpunga ni pawaga hii ipo iringa ukifika iringa mjini kuna gari za kwenda pawaga iko karibu na mbeya bila shakaMuda wa mavuno inakuaga miezi ipi na ukiacha na kilombero kwa morogoro ni sehemu gani tena wanalima mpunga??
Be blessedKwa uzoefu wangu mdogo juu ya biashara hii