Biashara ya mpunga...

Yani kwa uzoefu wangu kidogo unanunua mpunga afu unautunza kwenye magdara afu unasubilia kipindi cha kupotea mpubga ndo unaanza kuuza ..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Think big brother ,acha joking naleta fursa unaleta utani,mm ni mtumishi nipo kijijini , nina pesa wanazengo wa na mazao natumia nafasi hio kufanya namna au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize huyo mtaalam,mpunga unaharibika baada ya muda gani ,je mvua zitakuwa nyingi tena mwakani?akikupa jibu rudi hapa utueleze,
NOT ALL EYES CAN SEE OPPORTUNITIES,IT IS SEEN BY FEW PEOPLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpunga ukitunzwa vizur , hata miaka 10 unakuwa upo poa , wewe usiogope kulangua mpunga , nunua weka stoo , ukishaununua uanike Kwanza kabla ya kuutunza , na hakikisha gunia haligusi sakafu, tengeneza sado ya kupimia na ndoo maalum huwa tunatanua kijanja , ukiletewa mpunga chukua punje kias sigina chin , utaona Tu ulio mzur , chagua mpunga wenye punje ndefu....

Mvua ya namna hii inaweza isijirudie tena mpak after five years, bei inaweza ikawa mbaya next year but badae bei itapanda Tu , pia nzige wametengeneza vacuum ya menu Kenya na Uganda, Sudan wao ni constant customer , ko bei inaweza ikaremain constant na isishuke Zaid ,. ... Usifanye mchezo kama Una mtaji wa kulangua mpunga , Mungu akifungua ka upenyo ka fursa we unakapiga hasa , Mungu hapendi watu wanaocheka na fursa .....zamani alikuwa anatoa miaka Saba ya chakula badae miaka Saba ya njaa, sa hv anatoa mwaka mmoja wa chakula na miaka Saba ya njaa.....
 
Muulize huyo mtaalam,mpunga unaharibika baada ya muda gani ,je mvua zitakuwa nyingi tena mwakani?akikupa jibu rudi hapa utueleze,
NOT ALL EYES CAN SEE OPPORTUNITIES,IT IS SEEN BY FEW PEOPLE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalam kasema mpunga ukikauka na ukitunzwa kwenye magunia mazuri na sehemu yenye ukavu mpunga unaakaa hata miaka minne stoo.
Kuhusu mvua hiyo ni mipango ya Mungu ila huwa hazijirudii mfululizo.
 
VIPI KUHUSU MAHINDI KIPINDI HIKI YANA ISHARA YA KUPANDA?
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…