Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia sana kufahamika kirahisi na kuweka bei unazotaka.
msimu uliopita niliingiza faida milioni 3 kwa wiki kama 3, ubaya wa hii biashara kadri muda unavyozidi kwenda inazidi kuchuja, watu wengi wanapata faili biashara inavurugika, Mategemeo yangu kwa mwaka huu nipige mzigo kwa wiki 2 tu, uhakika ni kuingiza milioni 3
Watu wengi hapa nchini wanaocjeza ps wanapenda kucheza mpira lakini hawawezi kuzimudu gharama za cd, huwa zina bei ya juu, mbadala huwa ni kuchakachua mashine iweze kuingiza mafaili ya games za kucopy,
Leo hii mzigo upo kwenye oven, tayari nimepata wayeja 12 na wanaendelea kumiminika.
Ni elf 40 hadi 60 kwa kichwa kimoja kulingana na mteja, anaeniletea mteja huwa nampa elf 10.
Mahitaji
1. External iliyofomatiwa kwa mfumo wa exfat yenye GB 60+
2. File la game (pkg) + updates, GB 40+
3. Ujue namna ya kuingiza games, youtube kuna videos kibao.
4. Wateja - nawapa taarifa wateja wa zamani, anaeniletea mteja nampa elf 10 na nina magroup mawili ya wamiliki wa mashine za ps4.