Biashara ya mtaani na biashara ya sokoni ipi ni bora ?

humu sio kila mtu kasoma lakini haizuii watu kuuliza maswali, kuomba mawazo na kutoa ushari

toa ushauri, mambo ya lugha au uandishi yape uzito mdogo

senta kamaanisha centre
Unaweza ukawa upo sahihi ila binadamu tuna uelewa tofauti,ulichokielewa wewe,kinaweza kisieleweke kwa mwingine,

Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
 
Kama hlo soko, n kubwa, na hzo senta wanahemea hapo sokon n bora ufanyie sokoni watu n wengi.
 
Sokoni watu ni wengi, kama ukichagua sokoni jua kuongea na wateja.

Hata hapo senta kama wengi mnafanya biashara ya aina moja, ujanja ni kuwawin wateja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…