Biashara ya mtando ilianzishwamiaka ya 1960s huko Marekani na milionea wengi wa marekani walianza kushika milioni yao ya kwanza kwa kupitia Biashara hii ya MLM.
Kwa hapa kwetu Tanzania makampuni yanazidi kuja mengi na biashara hiyo inazidi kushika kasi kwa nguvu kutokana na wengi wanavyoonja mafanikio.
ukisikiliza watu wanavyoifanya biashara hii utakata tamaa na kuitwa machinga lakini kiuhakika na ukweli biashara hii haipaswi ubebe product uzunguke nazo kama machinga. Wengi tumeshindwa kuelewa biashara hii na ndio maana mtu akifanya baada ya miezi mitatu au mine anakuwa haoni mafanikio mwisho anaamua kuacha na kusema biaashara hailipi, wakati anafanya in a wrong way
Jinsi ya kufanya hii biashara
Biasharaa hii unapaswa kuifanya kwa kutangaza product za kampuni husika kwa njia ya mdomo, sio kubeba product na kuanza kuzunguka nazo, la hasha ni wewe uwe mtumiaji na baada ya kuona mafanikio ya product husika ndipo utakaposhea na marafiki zako, familia yako, na wengineo kuhusu hio product. Katika kushare kunamawili either mtu achukue kwa retail au kwa wholesale, retail atataka umpelekee mwenyewe that means utaenda kuinunua na kumpelekea kwahiyo utaongeza some % kwa ajili ya kulipia nauli, vocha, na muda wako. Kama ni wholesale means huyo mtu anataka awe anaenda kununua bidhaa mwenyewe kwenye kituo husika kwa hiyo atatakaa kujiregister na kuwa member. Hadi hapo haikupasi kununua product na kuzunguka nazo hadi ziexpire ukifanya hivyo ni kosa kubwa na hutofanikiwa kwenye hii biashara
Kuunganisha watu/ sponsor
Nimetumia sponsor kwasababu hutakiwi kumuajiri/recruit mtu ukifanya hivi hautofanikiwa kamwe, bali unatakiwa usponse watu maana yake yeyote Yule anayekuja kwenye timu yako ni mototo mdogo hajui kitu chochote kuhusu biashara hii, hajui hata anapaswa kufanya nini, unatakiwa umlee hadi akue ndio umuozeshe aanze nae familia yake. Kwa maneno mengine unatakiwa umfundishe biashara utenge muda wako ukae nae chini umfundishe hadi aelewe ndio umuache aweze kufanya biashara mwenyewe hii ndio maana ya kuunganisha watu kwenye biashara hii, na ndio maana unaambiwa huhitaji kuwa na mamilioni ya pesa kuanza biashara hii bali unahitajika uwe na muda, watu na juhudi katika kufanya biashara hii
Faida ya MLM
Katika biashara hii kunakuwa na faida mbalimbali
Unakuwa na uhuru wa muda, biashara ni ya kujipangia muda wa kuifanya kama nilivyoeleza hapo awali biashara ni ya kukaa na kuongea na watu na kufundisha sio biashara ya kuzungusha bidhaa full time kwa hiyo unauwezo wa kujitengea masaa yako mawili au matatu kufanya kazi hii na hiyo unatenga saa moja nafundisha downline wangu saa moja naongea na watu wapya au mtu mpya mmoja inatosha sana kwa siku. Na baada ya hapo kama nimuajiriwa unaendelea na kazi yako kama ni mjasiria mali unaendelea na mambo yako.
Uhuru wa pesa yako, unakuwa na uhuru wa fedha endapo tuu utakuwa na uwezo wa kutengeneza team iliyoko stable team ya kufanya kazi hapa ndipo tunasema utakuwa na financial freedom. Na ukiangalia au kusoma maana ya financial freedom maana yake ni kwamba angalau organization yako iwe na more than 500 workers means biashara yako iko stable na you own the business and not business owned you
Kujiendeleza/ personal Development
Kwenye MLM unakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kukuza upeo wako hasa wa kufikiri kutokana na training zinazotolewa mara kwa mara. Unapata leadership training na kushare mambo mengi na kukutana na watu wengi kuliko kitengo kingine chochote.
MLM ni assets kwako
Bishara hii kutokana na kuifanya kwa njia yam domo ni kwamba popote pale ulipo unauwezo wa kuuza business idea yako haijalishi upo Kenya Tanzania au marekani u can sell your business idea wherever you are na ukipata buyer men you got a branch there. Unawaachia Kampuni kufungua tuu branch na team kuendelea kujiimarisha huko. Pia unafanya vyote hivi unapata income nzuri na ambayo umeifanyia kazi (genuine wealth) kwani huku hamna motto wa nani wala nani asiyefanya kazi na asile inapply hapa, either baba yako ni raisi, mfalme, au mkulima unalipwa kulingana na nguvu yako. Unauwezo wa kuconnect na watu kwa urahisi zaidi as the law of Metcalfe V=N2 kwamba unavyoongeza network yako ndivyo unavyokuza chances za kutengeneza hela /income kwani binadamu tunategemeana, kama huna mtaji unaidea basi kuna mwingine hana idea lakini anamtaji so mkiviunganisha pamoja men unaanza kufanya business kwa pamoja. Pia MLM ni kitengo ambacho kinakufundisha leadership wewe kamwe hutokaa utumwe lakini dream yako na goals zako ndio zitakuwa kiongozi wako so huku mtu unajifunza kujituma na kujisimamia mwenyewe na ukifika sehemu Fulani utakuwa na team ya kuisimamia na kuifundisha na kutengeneza leaders ndani ya organization yako so why not try to lead yourself usubirie kuajiriwa milele?????
Faida ni nyingi hizi ni baadhi tuu ya mambo utakayoyapata ukiwa unafanya this kind of business
Testimonial
Wengi najua hamuamini this kind of business kwasababu wengi hawataki kuwa wamachinga kitu ambacho sishangai kwani hata mimi sikutaka kuwa machinga na kutokana na kutojua jinsi ya kufanya biashara hii na mimi pia nilikuwa kwenye the same kundi. wengi tunaoponda hii biashara ni wale ambao tunatafuta kazi na tuliomaliza chuo silaumu ,,, lakini kwa mtu ambaye anaweza kutake risk as nilichofanya mimi atajikuta anauwezo wa kujipatia mtaji wa kufanya other kind of business, binafsi nilijiunga na biashara hii mwaka jana mwezi wa tano na kwa sasa nimefanikiwa kuwa mfugaji mzuri wa kuku wa mayai kwa mtaji niliojipatia kwenye hii biashara na sikuwahi kuzunguka na dawa wala kupiga debe barabarani wala mavipeperushi. (Na kumbuka huwezi kujiunga na aina hii ya biashara na kuanza kujipatia millions of money wrong mamilioni yanayotajwa kwenye mikutano na presentation ni kwa ufanye biashara for few month even a year boss, humu kwenye hii biashara hakuna hela kirahisi rahisi hivyo na ukilala na hela zinalala). Na hatua hii ya kuamua kufanya biashara hii ni baada ya kukaa nyumbani mwaka mzima na miezi nane bila kazi nikaona yatosha kuwa ombaomba let me do something namshukuru Mungu maana I can count on myself kama nimepiga hatua angalau naweza kuonza kuona mafanikio, hopeful baada ya three yrs hata nikiacha network marketing biashara zangu na mifugo yangu itanipeleka mbali na maisha yataenda vizuri kabisa. Kwani lengo lilikuwa ni kutafuta mtaji niweze kufanya business, as u all know fresh from school utatembelea bank zote na hutokaa upate mkopo ngoo labda baba yako akupe nyumba yake na kama anayo na lazima bank waone tayari unabusiness inayojiendesha tena wanakuambia for three years
Sasa wewe ukisubiri approval kutoka kwa watu kuwa fanya hichi au kile utafanikiwa biashara si kazi ya kuajiriwa kuamka asubihi na kwenda ofisini jioni urudi kulala . biashara inahitaji time, biashara inahitaji nguvu zako na akili yako zaidi, biashara inahitaji sacrifices, biashara inahitaji utayari wako na kujituma kwako
Hayo tuu nilitaka kushare na nyie na kwamaelezo zaidi unaweza kuniinbox
Be blessed
Nawatakia mafanikio katika maisha
Kujituma kwako ndio mafanikio yako ..
Je kwa nini Mungu akulete hapa duniani . Dunia inahitaji mchango wako CHANGE NI WEWE
Your time is limited, so dont waste it living someone elses life. Dont be trapped by dogma which is living with the results of other peoples thinking. Dont let the noise of others opinions drown out your own inner voice. And most important, have the courage to follow your heart and intuition. They somehow already know what you truly want to become. Everything else is secondary. By Steve Jobs