Biashara ya mtandao

Biashara ya mtandao

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari,

Leo nakuletea maada/somo kuhusu biashara ya mtandao yaana network marketing, nitalezea faida na hasara za hizi biashara ya mtandao bila kutaja kampuni wa aina ya bidhaa kwa kuwa sina ruhusa ya kufanya hivyo kisheria.

Karibu

1.FAIDA ZA BIASHARA YA MTANDAO
Kuna faida nyingi sana kwenye biashara ya mtandao (network marketing) kama utakuwa makini kwenye hiyo kazi,
miongoni mwa faida hizo ni;
i)Kipato cha ziada
ii)Uhuru wa kufanya shughuli zako
iii)Kuwa bosi wa biashara yako
iv)Kutimiza malengo/ndoto zako nk.

2.HASARA ZA BIASHARA YA MTANDAO
Hasara za bishara ya mtandao ina changamoto nyingi, kuandika hii mada sijakurupuka nimefanya utafiti kwa makampuni 6 za biashara ya mtandao Tz kwa takribani miaka4 na sikushawishika kujiunga.

Hasara ni;
i)Ukipewa bidhaa lazima utumie kwanza na zingine ushirikishe watu
ii)Bei ngali watu wanashindwa kununua hivyo bidhaa hukaa bila kuuzika haraka
iii)Lazima utembeze bidhaa kuwaonesha watu
iv)Kuwaunganisha/kutengeneza team chini yako.
Hii ndo biashara ya mtandao ilivyo
 
Back
Top Bottom