Thank you Shilla kwa kutupigia debe. Kwa kuwa majina ya wateja wetu humu kwenye mtandao ni tofauti na majina halisi ya wateja tunayo fanya nayo biashara, tunashindwa kukufahamu wewe ni nani? Kuanzia 2011 tunatoa complememts za kalamu za cello free kwa kila transaction tunayofanya na mteja. Ukiwa na hitaji lolote usisite kutuandikia :
pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara
🙂