Biashara ya mtandaoni

Biashara ya mtandaoni

Joined
Dec 1, 2010
Posts
68
Reaction score
4
Kwa wale waote wanaohangaika kutafuta battery za simu, au power supply za computers, battery za laptops, au printer toners na cartilages za aina mbalimbali, na ambazo ni shida kupatikana kwenye soko la Tanzania, basi usisite kutuandikia kwenye : pacificamarine@yahoo.com. Sisi tutanunua kwa pesa za kigeni na na kukuletea mpaka Dar es Salaam.
Karibuni
 
Mkuu vipi kuhusu laptops used. Nahitaji toshiba au dell ila ya bei nafuu
 
Back
Top Bottom