Laizer Miradi
Member
- Jan 2, 2018
- 24
- 8
Jamani humu kwema. Wadau kwetu kuna njaa sana hasa miezi ya February, March na April. Ni miezi ambayo kwa kweli kunakuwa na shida kubwa sana ya chakula.
Watu wanajinusuru kwa kununua mihogo kwa sado kwa garama ya 2000-2500. Ambapo hiyo mihogo kwa wafanya biashara wananunua kwa garama ya sh. 700 mpaka 800 kwa sado. Sasa baada ya utafiti wangu nimegundua kwamba tunaweza kufanya biashara nzuri sana kwa kuwakopesha watu hao.
Yaani
Tunakusanya mihogo na kuweka store halafu tunawakopesha wateja ili wanapovuna kuanzia mwezi wa sita ndo wanalipa kwa garama kubwa kidogo. Mfano, tunauza cash sado kwa sh 2500 au 3000 na kama ni mkopo basi atalipa 3500 au sado 2 za mahindi.
Itakuwa biashara nzuri mno kwani kuna watu walifanya mwaka Jana lakini mwaka huu hawana mitaji. So please kama kuna yoyote mwenye wazo ushauri karibu sana.
Mie tu sina mtaji. Nimeleta hapa kwa vijana wenzangu kwa ushauri lakini pia kama kuna mtu anamtaji walao sh. 800,000/= hadi 1,000,000/= karibu sana Mbinga ufanye biashara ili na Mimi niweze pata chochote kuliko kukaa tu kama hivi. Karibu sana kwa mawazo yenu wadau[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]