Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etcHabari zenu wana JF
Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar.
Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu.
Asantee!!
Unauza mwenyewe au unamuachia mtu?Okay Asante