Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 24, 2024 #1 Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Dec 25, 2024 #2 Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc
Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 26, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 26, 2024 Thread starter #4 The Burning Spear said: Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc Click to expand... Okay Asante
The Burning Spear said: Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc Click to expand... Okay Asante
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Dec 26, 2024 #5 Gloria EM said: Okay Asante Click to expand... Unauza mwenyewe au unamuachia mtu?
Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 27, 2024 Thread starter #6 Evelyn Salt said: Unauza mwenyewe au unamuachia mtu? Click to expand... Mwenywe
MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,140 Reaction score 2,141 Jan 2, 2025 #7 Si uchukue kutoka vijijini ukauze mjini ndo utapata faida kubwa