Biashara ya Nafaka, Mihogo, Nyanya na Vitunguu. Kutoka Tanzania Bara

Biashara ya Nafaka, Mihogo, Nyanya na Vitunguu. Kutoka Tanzania Bara

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
HABARI zenu Ndugu zangu.

Mimi ni mkulima na agent. Wa mazao ya Mboga mboga Mboga. Kama upo Zanzibar na Unahitaji Kufanya Biashara ya NAFAKA na mazao ya Mboga mboga kama Vitunguu,nazo,nyanya n.k. nipo hapa Kukusaidia.

Kazi yangu ni kukusanya, kupakia, Kulipia ushuru wa bandari na Boti na ninahakikisha mzigo unakufikia.

Uzi Huu ni Maalumu Kwa Wafanyabiashara mliopo Zanzibar ambao mnataka kuingizia bidhaa hizo tajwa hapo. Juu.

Wasiliana nami nikusaidie Kukuletea mzigo Hadi huko zenji Ulipo.
 
Back
Top Bottom