Wanajamii, naomba kufahamishwa zaidi juu ya biashara ya nafaka. Nimeambiwa kuwa biashara ya nafaka kama mahindi, mchele, unga ni nzuri sana. Je, ni hatua zipi za kufuata kama unataka fungua duka la nafaka? Mie nipo Dar (nafikiria maeneo kati ya Kawe na Boko). Na nitahitaji mtaji wa kiasi gani wa kuanzia. Asanteni.