Biashara ya nafaka

Joined
Apr 25, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Naombeni ushauri kunabiashara.nimefungua ya kuuzanafaka.kama maharage,mchele,mahindi,karanga.viazimviringo.dagaa,nk.sasahiibiashara naonainaniumiza.sana kichwa.kwaninauza sana ila.sionipesa.wadau naombeniushauri nifanye.nn?ili nisijenikafunga hii biashara.
 
Duh sasa unauzaje alafu hauoni pesa achana na fikra za kishirikina piga biashara wew maana hapo ni wazi kabisaa ushaanza peleka hisia zako kwa sangoma embu tumia daftar lako vizuri trace utajua tuu hiyo pesa inapotelea wapi
 
Reactions: BIR
Duh sasa unauzaje alafu hauoni pesa achana na fikra za kishirikina piga biashara wew maana hapo ni wazi kabisaa ushaanza peleka hisia zako kwa sangoma embu tumia daftar lako vizuri trace utajua tuu hiyo pesa inapotelea wapi

Nimekuelewa ndugu yangu.naufanyia kazi ushauri wako.
 
Biashara ni unanunua, unauza kwa faida. Kama unanunua eneo la mbali sema wanakozalisha basi bila kiuprocess utauza kwa faida mfano mikoani uje uuze Dar. Lakini kama unafuata sijui Tandale, Tandika uje uuze mtaani kama zilivyo faida ndogo sana. Kuna uzi wa ujasiriamali kaongelea processing ya bidhaa kuiongeza au kuibadili thamani mfano nafaka kuwa unga nk. Hizi za uchuuzi sio faida sana kama na fremu unalipia na umeweka mtu auze.
 
Uko pande zipi? Tufanye mimi nikuuzie mzigo wa jumla wa mchele na maharage huku vipo vingi tu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…