babuali farm
Member
- Mar 7, 2018
- 9
- 5
Inawezekana maanake Ilala zimefikia 500Mbona unarangua Mzee?, Nazi sasahivi bei ya shamba ni tsh.200/= hadi tsh.250/=.
Wapi hiyo na mimi nikanunue naomba namba zako mkuu,Mbona unarangua Mzee?, Nazi sasahivi bei ya shamba ni tsh.200/= hadi tsh.250/=.
Zinafika mzee tuwasiliane tu mkuu 0622587113Mzee mbeya zinafika???
Nyie huwa mnauza bei gani shambani? Nipeni namba zenu mimi yangu 0622587113 nipo tayari kununua kwenu kama mnapatikana kusini lindi na bei yenu kama 250 nipo tayari kununua hata nazi elfu50,msilinganishe nazi ya tanga,mombasa,bagamoyo,mafia na nazi kutoka kusiniHuyu bila shaka ni dalali hiyo sio bei ya shamba....
KABISA HATA MM NASHANGAA SANA BEI KAMA YA HUKUHuyu bila shaka ni dalali hiyo sio bei ya shamba....
Sawa,karibuKABISA HATA MM NASHANGAA SANA BEI KAMA YA HUKU