Biashara ya ndege ndio biashara ngumu na yenye risk kubwa mno Duniani, Air Namibia wamenyanyua mikono

Biashara ya ndege ndio biashara ngumu na yenye risk kubwa mno Duniani, Air Namibia wamenyanyua mikono

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Biashara ya ndege hata Matajiri wakubwa wa Dunia wanaogooa mno kuwekeza hapo. Na watalaamu wa Biashara wanakuambia ndo biashara ngumu kabisa na hata haya mashirikia makubwa makubwa wanapigwa mno tafu na Nchi zao zenye pesa.

Mfano Mashirika ya Waarabu yanapigwa tafu na pesa za mafuta na si vinginevyo.

Sasa sisi hata Panadol Zenyewe kwenye vituo vya afya ni dhughuri je pesa za kupiga tafu Shirika tutazitoa wapi?
20190825_083934.jpeg
 
Sisi huku tunaambiwa kila mwaka zinazalisha faida ya bilions of TSh. Kama vipi hizo nchi zinazoshindwa kuendesha mashirika yao ya ndege, zije zijifunze kwetu na zione namna tunavyoziendesha kwa faida! Chezea awamu ya tano wewe! 🙈😎😇👐
 
Sisi huku tunaambiwa kila mwaka zinazalisha faida ya bilions of TSh. Kama vipi hizo nchi zinazoshindwa kuendesha mashirika yao ya ndege, zije zijifunze kwetu na zione namna tunavyoziendesha kwa faida! Chezea awamu ya tano wewe! [emoji85][emoji41][emoji56][emoji114]
Aiseee!
 
Kuiombea mabaya nchi yako kwa ajili ya kuendekeza siasa ni uzwazwa
Kwani kwenye biashara/uchumi kuna kuombeana mabaya mkuu? Na hata siku. Moja huwezi fanya biashara kwa misifa!!! Pumzi itakata tu, na ndio kinachofanyika hapa kwetu, ripoti ya cag, inaonyesha kuna hasara kubwa, ripoti ya jiwe kuna faida ya bilioni 160!!
 
kwa jiwe alivyo sikio LA kufa

..atangangania ushauri atakaopewa na akina Musiba na Bashite tuu

wakati wenyewe wanakwea pipa bure buree kwenda kokote inapofika
 
Biashara ya ndege hata Matajiri wakubwa wa Dunia wanaogooa mno kuwekeza hapo. Na watalaamu wa Biashara wanakuambia ndo biashara ngumu kabisa na hata haya mashirikia makubwa makubwa wanapigwa mno tafu na Nchi zao zenye pesa.

Mfano Mashirika ya Waarabu yanapigwa tafu na pesa za mafuta na si vinginevyo.

Sasa sisi hata Panadol Zenyewe kwenye vituo vya afya ni dhughuri je pesa za kupiga tafu Shirika tutazitoa wapi?
View attachment 1189493
Bora zao zinapata hasara lakin zinaonekana zetu zikitoka nje tu zinadakwa na wadeni wetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi huku tunaambiwa kila mwaka zinazalisha faida ya bilions of TSh. Kama vipi hizo nchi zinazoshindwa kuendesha mashirika yao ya ndege, zije zijifunze kwetu na zione namna tunavyoziendesha kwa faida! Chezea awamu ya tano wewe! [emoji85][emoji41][emoji56][emoji114]
 
Jiwe alioma wenzake wajinga wacha wayakatate yoyte yy c jiwe kweli kweli
 
Back
Top Bottom