Aiseee!Sisi huku tunaambiwa kila mwaka zinazalisha faida ya bilions of TSh. Kama vipi hizo nchi zinazoshindwa kuendesha mashirika yao ya ndege, zije zijifunze kwetu na zione namna tunavyoziendesha kwa faida! Chezea awamu ya tano wewe! [emoji85][emoji41][emoji56][emoji114]
Kwani kwenye biashara/uchumi kuna kuombeana mabaya mkuu? Na hata siku. Moja huwezi fanya biashara kwa misifa!!! Pumzi itakata tu, na ndio kinachofanyika hapa kwetu, ripoti ya cag, inaonyesha kuna hasara kubwa, ripoti ya jiwe kuna faida ya bilioni 160!!Kuiombea mabaya nchi yako kwa ajili ya kuendekeza siasa ni uzwazwa
MazuzumagicSisi tu ndio huwa hatushtukagi mapema
Bora zao zinapata hasara lakin zinaonekana zetu zikitoka nje tu zinadakwa na wadeni wetu.Biashara ya ndege hata Matajiri wakubwa wa Dunia wanaogooa mno kuwekeza hapo. Na watalaamu wa Biashara wanakuambia ndo biashara ngumu kabisa na hata haya mashirikia makubwa makubwa wanapigwa mno tafu na Nchi zao zenye pesa.
Mfano Mashirika ya Waarabu yanapigwa tafu na pesa za mafuta na si vinginevyo.
Sasa sisi hata Panadol Zenyewe kwenye vituo vya afya ni dhughuri je pesa za kupiga tafu Shirika tutazitoa wapi?
View attachment 1189493
Sisi huku tunaambiwa kila mwaka zinazalisha faida ya bilions of TSh. Kama vipi hizo nchi zinazoshindwa kuendesha mashirika yao ya ndege, zije zijifunze kwetu na zione namna tunavyoziendesha kwa faida! Chezea awamu ya tano wewe! [emoji85][emoji41][emoji56][emoji114]