Biashara ya ng'ombe kuleta mnadani Pugu

Biashara ya ng'ombe kuleta mnadani Pugu

konda msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
1,696
Reaction score
8,763
Habari wana janvi?

Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Habari wana janvi?

Naomba kupata abc za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida. Natanguliza shukrani zangu.
Nimeketi kusubiri wataalamu na wazoefu wa tujuze...

#MaendeleoHayanaChama
 
Vyema tu ufike Pugu utapata maelezo ya haraka na yenye uhakika. Kuna wafanyabiashara wanaosubiri mzigo na kuna wanaoenda kufuata mzigo wenyewe suala la mtaji ni wewe tu hata ukiwa na milioni 50.

Pia unaweza kuagiza mzigo kupitia wengine ambao wamefuata inakuwa rahisi kama una mtaji mdogo (ZINGATIA UAMINIFU)
 
Sawa mkuu, ila pia sio vibaya kupata dondoo kama kuna watu wanafanya au walishafanya hii biashara.
 
Pugu pako local sana,ng'ombe madalali wanampima kwa kumnyanyua mkia juu tu wanakwambia kilo zake na bei yake chapchap.

So jiandae kisaikolojia.
 
Mkuu nina milion 5 hapa nipe chimbo la kuiingiza kwenye ng'ombe kwa hapa Dar .. sitaki niwe nafuata ng'ombe mkoa. Ila nisaidie ni kwa angle ipi naweza kuingia
 
Fanya research Tafuta center yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam hayo maeneo kodi ya fremu huwa kidogo imechangamka almost ni laki na kuendelea kwa mwezi (epuka fremu za bei chee huwa hayo maeneo hayana biashara).

Fungua bucha utakaloweza kuuza 100kg za nyama na kuendelea kwa siku utapiga hela mpaka ujiulize ulikuwa wapi siku zote. Hapa uzingatie sana quality ya nyama namanisha unapoenda kuchukua mzigo machinjioni chukua nyama ile ya bei ya juu achana na nyama za bei rahisi ukitaka faida kubwa wateja hutapata maana nyama wanazijua.
 
Diclopa unazingua..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom