Biashara ya ngozi mbichi ya Ng'ombe nje ya nchi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana.

Naomba kujua taarifa zifuatazo
1. Upatikanaji wa Ngozi mbichi ya Ng'ombe
2. Bei yake kwa ngozi
3. Vibali
4. Packaging

na mengineyo.
Shukrani sana
 
Kuna jamaa namfahamu anaifanya, yeye anachukulia Zimbabwe anapeleka Nigeria Kama chakula wanaita Pomo. Anasema ngozi za kule zina ubora kulinganisha na za hapa Bongo.
 
Ohoooo, anyway kwa bongo huna details zozote?
 
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana.

Naomba kujua taarifa zifuatazo
1. Upatikanaji wa Ngozi mbichi ya Ng'ombe
2. Bei yake kwa ngozi
3. Vibali
4. Packaging

na mengineyo.
Shukrani sana

Kazi ya ngozi mbichi n ipi?

N taifa gani utumia sana hzo ngozi mbichi?
 
Back
Top Bottom