Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ohoooo, anyway kwa bongo huna details zozote?Kuna jamaa namfahamu anaifanya, yeye anachukulia Zimbabwe anapeleka Nigeria Kama chakula wanaita Pomo. Anasema ngozi za kule zina ubora kulinganisha na za hapa Bongo.
hebu weka nyama kidogo nikueleweHii fursa imekabwa sana aisee haiingiliki kirahisi
ExactlyHii fursa imekabwa sana aisee haiingiliki kirahisi
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana.
Naomba kujua taarifa zifuatazo
1. Upatikanaji wa Ngozi mbichi ya Ng'ombe
2. Bei yake kwa ngozi
3. Vibali
4. Packaging
na mengineyo.
Shukrani sana