Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri.
Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu namna ya kupata mzigo maana nimeambiwa hatuna ubalozi wa Vietnam hapa Tanzania. Je process za kupata visa nikitaka kusafiri zikoje? Changamoto zilizopo? nikihitaji kuagiza tu ntapata vipi contacts zao?
Kuna wafanyabiashara hapa nchini tayari Wana-connection lakini ni wachoyo ajabu hawatoi information kabisa jinsi walivyofanikiwa. Tusaidiane aisee hali tete.