Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,114
- 1,308
Habari Ndg zangu wanaJf,
Napenda kuuliza maswali yafuatayo kwa wenye uzoefu na biashara hizi.
Ushauri wenu wa kitaalamu ni muhimu sana kwangu...
1.Ni mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha biashara ya nguo spesho?na je,hizo nguo zinapatikana wapi kwa bei rahisi ili nikiuza nipate faida kubwa.Na unanishauri nifanye biashara ya nguo zipi hasa?za kike/kiume/watoto
2.Ni mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha biashara ya kuuza simu original na feki(mchina)?
Pia ni taratibu zipi natakiwa kufuata ili nianzishe biashara hizi.
Nitashukuru sana wanaJf wenzangu.
kama una maelezo ya ziada ambayo hauwezi kuyaanika hapa unaweza ni pm then nitakupa mawasiliano yangu kwa mawasiliano zaidi.
Asante.