cleverr
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 141
- 139
Habari,
Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special).
Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA.
Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M.
NB: Fremu ipo free, ni yangu.
Mchango wa mdau
Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special).
Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA.
Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M.
NB: Fremu ipo free, ni yangu.
Mchango wa mdau
Hongera boss niliwahi kuifanya Kaskazini nikapiga chini maana Mimi nilitaka super profit nikaona hainipi.
1M ni ndogo, ushauri base kwenye item moja au mbili kama viatu midosho au surual au sweta maana ukisema uchukue kila kitu kama viatu, sendo, shati, t-shirt, suruali, kofia, sweta, traki, boksa n.k. Inabidi ujivute kimsingi anza na kitu kitakacho toka kwa hapo ulipo na chenya faida mfano arusha sweta zinatoka sana
Mimi nilikuwa nachukua sweta Tsh. 12000 nauza Tsh. 20000 fixed, Tsh. 8000 faida, si haba mzigo K/Koo unapata jumla fresh tu japo. Mimi nilitaka kupata vitu vya bei chini zaidi sikupataga chimbo ase.
Nenda K/Koo maduka ya underground sema nataka jumla ila lialia upate discount bei iko hivi
upuuzi wa K/Koo kitu kinachotrend kwenye fashion bei inakuwa juu suruali inayotrend ni Tsh.17000 na za kawaida Tsh. 15,000. Shati Tsh. 13000 na Tsh. 12000. T-Shirt 12000, Tsh. 10000, Tsh. 11000, Tsh. 8000, plain dazen Tsh. 60000, Sweta Tsh.12000, Viatu Tsh. 8000, Tsh. 10000, Tsh. 15000 n.k. Unisex Kofia cap Tsh. 7500, Boksa Tsh. 3000 kwa moja.
Unaruhusiwa kuuliza zaidi, anayefahamu bei chini zaidi ya vitu kwa jumla amsaidie mdau