Biashara ya nguo za mitumba za watoto

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
232
Habari za muda huu Wana jamii forums,

Naomba kuuliza kuhusu biashara ya uuzaji wa nguo za watoto za mitumba kuwa inalipa? Na vipi kuhusu changamoto zake? Na je,hii biashara inaendeshwa vipi? Mawazo yenu tafadhari!!

Make nimepata wazo kwa mtu kuwa naweza kununua package ya jumla kwa 230,000 yenye nguo 490 nikaanza kuzungusha nikiuza kwa 2,000 Kila nguo Moja!!

Mawazo yenu tafadhari na mahali pa kuzungusha (kuuzia)

Nawasilisha!
 
Nicheki privacy nkuelekeze kuhus hhii ishu
 
Aina ya pili ya hawa watu wa mitumba ya Aina yoyote wakubwa au watoto ni HAWKERS (watembezaji) wanamiliki portable goods wanabeba kwenye mabegi au henga barabarani au nyumba Kwa nyumba. Hawa hawana mtaji mkubwa pia wanachagua Sana yani... Hawa jamaa ni WATEJA Kwa Hao wa kwanza ila Wanapoint 'POINTA' wanakuaga na Macho ya uteja yani anaangalia hii nguo Nani itamtosha au inavutiaje machoni.. Wana sifa za uteja kabisa! A nawez kupata nguo 2 katika nguo 100 ulizompa achague akauze
 
1900 tunauza Ila kuanzia PC 50
Ni sketi za watoto tu miaka 2 mpaka 12
Unaweza kurud kubadilisha mzigo mfano umechukua PC 200 ukauza 150 .. unakuja na zile 50 zilizobaki unachagua nzuri zaidi Tupo karbu sana







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…