Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

Safii umeshusha nondo za hali juu sana!!
 
Umefafanua kwa kiwango cha hali ya juu

Hii itasaidia wengi
Hapo umeacha kipengele cha faida, hizo chupi kwa dazon zinatoa faida kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefafanua kwa kiwango cha hali ya juu

Hii itasaidia wengi
Hapo umeacha kipengele cha faida, hizo chupi kwa dazon zinatoa faida kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida hua Inategemea wewe utauzaje mkuu ila mfano umenunua dazn 36,000/= Maana yake kila chupi umenunua 3000/= wewe ukiuza elfu5 kilachupi Faida 2000*12=24,000/=

Sasa mfano akiwa anauza mfanyakazi na wewe umempangia auze elfu5 Mteja kaja atashindwa kumpunguzia lakin Kama upo wewe unaweza kumpunguzia bei na Mteja anafurahia na kesho akaja
 
Mkuu sikupata ile picha, vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wakuu hivi asilimia kubwa wanawake wa dar nasikia hawavai chupi zinachubua wanadai
 
We jamaa umeandika mambo mazuri Sana, hongera Sana aisee
 
Tufahamishane ndugu yanguu... wapi mzigo wa jumla unapatikana
 
Uzi una madini sana uu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…