Biashara ya nguo

Biashara ya nguo

Mr Ebora

New Member
Joined
Dec 7, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habari za humu Wana familia,Mimi ni mgeni humu ndani,Nina mtaji mdogo Sana kima cha laki3 ndoto yangu nifanye biashara ya kununua na kuuza nguo na viatu vya kike,,nimejaribu za kutembeza napata faida kidogo ila changamoto NI wateja wachachenachoka Sana,nilitaka nifungue office ila vitu vya kuzingatia bado sijajua.

pia nahitaji kutanua wigo mpana na kukua na hatimaye niwe mfanyabiashara mkubwa je nifanyeje?,na changamoto nyingine NI namna ya kuepuka upotevu WA nguo,ukizingatia naambiwa biashara ina mauzauza mengi.,naombeni msaada wa kimawazo,asanteni🤲
 
Back
Top Bottom