nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Safi sana.
Hesabu nzuri lakini sema kwamba unafanyia kazi gani.
Maana pesa sio tatizo,tatizo ni kujua gari inaenda kufanya kazi gani.
Unaweza kulipwa hata milioni kwa wiki lakiki miezi sita huna gari ila unabakia na kanjanja
Mwenye gari aina ya Noah nahitaji tuandikishane niwe namletea hesabu kwa wiki 130,000/= nipo Dar es salaam na biashara itakuwa hapo hapo, 0714064767 nipigie ili tuongee
huko mbali Sana hapa hapa Dar es salaam fursa zipo ukiwa mwaminifu Tu.ipo chini sana,naiandaa project ya naoh nzega to igunga.elf 50 kwa siku