Biashara ya nyama

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari zenu
Wafanye biashara ya nyama " n'gombe , mbuzi"
Mie ninabucha iko Kitumbini Dsm
bucha hii inafanya kazi tangu 1978
namtafuta mtu wa sokoni anaye uzia nyama kwa wafanye biashara buchani
palikua na mzee aliekua ananiletea nyama nzuri miaka ilio pita na kwa bei nzuri ila sasa kafariki na mtoto wake ananiletea kwa bei mbaya sana natafuta mtu anaye weza kuniletea nyama ya n'gombe kwa kilo 4200
atakaye weza kufanya kazi pm
 
Uwezo wako wa kuchukua ni Kilo ngapi?
Na ni on daily basis au kuna off days
Nataka niangalie kama Kijigari changu naweza kukifanyia dili hii.
 
sina off nafanya kazi kila siku nachukua n'gombe nzima saa nyingine inazidi n'gombe na paja mbili inategemea na bei kwa sasa bei kwa kilo imeshuka sana. kwa kilo utaniuzia shingapi nijuwe kabla
 
Hata mimi niko mbioni kufungua duka la nyama huko Mbagala, huu uzi waweza kunisaidia.
 
ambaye yupo tayari aje afuate nyama huku vigwaza kama mnapajua then kilo elf4 tu. kama upo tayari nipm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…