Hance Chance Balance
Member
- Aug 17, 2020
- 10
- 8
Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc, hydraulic na brake fluid wanauzaje kwa Bei ya jumla mfano jijini mwanza.
Kama Kuna wakala wa total, Castrol au gp au mdau wa maswala ya hivi vilainishi vya magari naombeni kujua gharama zake
Asante
Kama Kuna wakala wa total, Castrol au gp au mdau wa maswala ya hivi vilainishi vya magari naombeni kujua gharama zake
Asante