Hance Chance Balance
Member
- Aug 17, 2020
- 10
- 8
Ngoja mimi nitamsaidia hitaji lakeMbona ndugu hakujibiwa hivi watnzani mnadhan kuficha ndio kupata Kama hutoi baraka lazima zikuepuke
Habari yako mkuu,vipi ulifanikisha hitaji lako?Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc, hydraulic na brake fluid wanauzaje kwa Bei ya jumla mfano jijini mwanza.
Kama Kuna wakala wa total, Castrol au gp au mdau wa maswala ya hivi vilainishi vya magari naombeni kujua gharama zake
Asante
Vipi kuhusu mzigo kufika gharama haiwezi kua juu pale bandarin kutoa au mnafanyajeHabari yako mkuu,vipi ulifanikisha hitaji lako?
Mimi nafanya biashara ya kutuma spea mbalimbali za magari,simu/tablets na laptops kutoka Dubai to Tanzania unaweza kunicheki whatsapp uniagize utakacho.
Whatsapp +971527794329
Niko na Cargo agent ambaye nikimlipa yeye ndio anasimamia kila kitu hadi kuvitoa bandarini kisha wewe utaenda kuvichukua bila kulipia gharama tena.Vipi kuhusu mzigo kufika gharama haiwezi kua juu pale bandarin kutoa au mnafanyaje
Eleza Kila kitu wadau wapo
Niko na Cargo agent ambaye nikimlipa yeye ndio anasimamia kila kitu hadi kuvitoa bandarini kisha wewe utaenda kuvichukua bila kulipia gharama tena.
Kwa hiyo nikikupa bei ya bidhaa nakuwa nimeshapigia hesabu gharama zote ikiwemo na usafirishaji.
Nadhani nimeeleweka.
Nafanya kama mtu binafsi mkuu,mambo ya kuanzisha kampuni badoKampuni yako inaitwaje?..
Mkuu, Security ni bank kuwa ntaweka ela ikae kwenye escro acc mpaka mzigo unifikie ndo ulipwe au ni kuaminiana tu?Nafanya kama mtu binafsi mkuu,mambo ya kuanzisha kampuni bado
Wewe ukihitaji mzigo utanicheki tutadiscuss vile unaona ni njia nzuri ya kulinda pesa yako.Mkuu, Security ni bank kuwa ntaweka ela ikae kwenye escro acc mpaka mzigo unifikie ndo ulipwe au ni kuaminiana tu?
Sawa mkuuWewe ukihitaji mzigo utanicheki tutadiscuss vile unaona ni njia nzuri ya kulinda pesa yako.
Niko flexible pale ninapopata mteja na ananipa conditions zenye logic ndani yake niko tayari kumsaidia.
Otherwise karibu nikuhudumie.