Habari wanajukwa wa JF
Naomba elimu na ushauri kuhusu biashara ya vilainishi (oil and lubricants) vya vyombo ya moto kama vile magari na pikipiki, mtaji kiasi gani unahitajika? location ya kufungua ofisi, machimbo ya kufungashia mizigo, faida na changamoto