Wakuu polen na kazi,naulizia b'ness ya Oryx gas inakwendaje?kama kuna mwana Jf anayeifanya anipe maujanja!hivi ukinunua kule depot wanakuletea hadi hapo unapofanyia b'ness au unabeba mwenyewe?na bei ya jumla wanauza kuanzia mitungi mingapi?nawasilisha wakuu.