ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Kwa muda mrefu serikali inajitahidi kupambana na usafirishaji wa pesa haramu kwa hili ambazo hazipiti kwenye dola yetu.
Kwa zaidi ya miaka kadhaa barabara ya 11 pale Tanga watu wanauza fedha za kigeni kama mabadilishano tu yaani si halali kabisa na ukifika Lazima wakuonyeshe.hili si salama kwa nchi kwani fedha yetu inachezewa na hawa walanguzi bila kupita kwenye uwiano sahihi.naiomba serikali iitazame hii biashara kwani inaweza kuwa ni njia ya kupoteza uwiano wa kibiashara.