Biashara ya photocopy inalipa?

Biashara ya photocopy inalipa?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Wakuu,

Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam?

Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu
 
kajifunze kutengeneza hizo photocopy, ni moja ya dili kubwa, maana wauzaji ni weng ila mafund wachache, ngoja nimalizie konyagi yangu hapa, maana naona naongea pumba
 
Inabidi utafute eneo ambalo utapata wateja kwa urahisi kama maeneo yenye Chuo, Shule n.k.
 
Back
Top Bottom