Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Full stationery ambapo kuna maswala ya printing.Photocopy pekee au ni full stationery?
Pata penye mzunguko wa hiyo huduma utapata helaWakuu,
Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam?
Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu
Wanafunzi wakifunga chuo je?Inabidi utafute eneo ambalo utapata wateja kwa urahisi kama maeneo yenye Chuo, Shule n.k.
Utaendelea kuuza vitu vingine vya Stationery.Wanafunzi wakifunga chuo je?