RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Acha kukurupuka na kuropoka ovyo Jomba,kama hujui kaa kimya sio unajibu pumba hata kilicho ulizwa hujui.mnakele sana watu wa nama hii.Tembea mbele ww kilaza,unaishi kwa kukalili.eti unajifanya mwelewa wa ujasiriamali huna lolote kilaza wwUjasiriamali ni kupata faida pale pasipotegemewa.
Acha kukurupuka na kuropoka ovyo Jomba,kama hujui kaa kimya sio unajibu pumba hata kilicho ulizwa hujui.mnakele sana watu wa nama hii.Tembea mbele ww kilaza,unaishi kwa kukalili.eti unajifanya mwelewa wa ujasiriamali huna lolote kilaza ww
Fekon 1.65m,
boxer 2.1m,
motor v, nil
kofia 2, 25k,
unatakiwa ununue si chini ya tatu kuona faida. Ni samehe mkuu zilikua pombe tu. Ila tegemea wateja walevi kama mimi kwenye shughuli zako za kila siku.
Fekon 1.65m,
boxer 2.1m,
motor v, nil
kofia 2, 25k,
unatakiwa ununue si chini ya tatu kuona faida. Ni samehe mkuu zilikua pombe tu. Ila tegemea wateja walevi kama mimi kwenye shughuli zako za kila siku.